Jinsi ya kutambua Iphone fake
Kutokana na uimara na uzuri wa Iphone watu wengi hutaka kumiliki aina ya simu hii lakni changamoto ni bei kubwa ya simu hizi
 ambapo dukani iphone 5 (350000-400000) ambazo watu wachache ununua kwa sababu ya udogo wake





Lakini kuna iphone 6 ambazo saiz ndio most common (zimesambaa kwa wingi) kwa sababu ya umbo zuri na size inayoeleweka, bei yake dukani ni 550000-750000 inatokana na property unazohitaji







Pia kwa sababu ya uzuri wa simu hizi watu wengi hutaka kuwa nazo hata kwa kununua iliyoused kwa mtu kwa bei rahisi na mwisho uishia kununua iphone fake ( cloned iPhone)
Sasa unawezaje kujua kwamba iphone unayotaka kununua ni original au fake?
Njia ya kwanza ambayo naweza kuwashiriisha leo ni kwa kutumia IMEI number
Kabla ya kununua iphone yako piga  *#06# itakuletea namba ambao inatakiwa ifanane na IMEI number on the back ya iphone yako ,isipofanana kuna doubts kwenye hiyo simu
Pia unaweza ingia mtandaoni andika IMEI number for iPhone itakuletea sites ambazo unaweza ingiza hiyo IMEI number na kukuletea maelezo ya simu yako, kama ni original maelezo yote ya rangi,aina ya iphone na storage yanatakiwa yafanane na simu hiyo unayoinunua
For more information
Contact: Benedicto 0755025062

Comments

Popular posts from this blog